watu kama lesnar ni kutumia akili saanaJamaaa juzi sijui alipanik sana..yani moja tu kabebwa kapigwa finishing, mkanda umeondoka!
Mechi nilitenga mda niicheki ila Koffi alizingua sana pamoja na kwamba ilionekana kama lesnar anaeza shinda!
Lesnar ni mbishi sana!
Lesnar atapambana na yule aliye-interfere baada ya ushindi!
Ambaye hajaalewa kama mimi ngoja like hapa
Hafai Lesnar..!usimwendee kichwa kichwa,labda utangulize chest...seth asingekubali kirahisi afu watu kama lesnar so wakuwaendea kichwakichwa lazima utumie akili
Haya mambo tuachie mkuuAmbaye hajaalewa kama mimi ngoja like hapa