Koffi olomide azindua hotel yake

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
5,139
Reaction score
1,149
Ameipa jina " VILLA DELPIRLO " likiwa ni jina la mwanae kipenzi ambae siku ya uzinduzi huo ilikua ni birtday yake,huu ni mfano wa kuigwa na wasanii wetu badala ya kubanana kwenye nyumba za kupanga sinza huku wakila bata na kutumi pesa vibaya,wanapopata mafanikio wakumbuke kufungua vitega uchumi ili hata wakipotea kimuziki kama mr nice wa sasa waendelee kula kuishi vizuri bila kuishi kwa kupiga mizinga na kubaki na stori enzi zngu nilipokua juu n.k. is not gonna help either!hongera koffi papa na delpiro morinho,papa na didistone pamoja na sean james,

 
Last edited by a moderator:
Huu ni uzio wa mjengo wake mzee mzima MM(MOPAO MOKONZI)...koffi charles Antoinne Olomide

 
ah koffi kiboko toka enzi za musukusuku, andrade, miko na nyinginezo nyingi yupo juu sana!
 
Du huko kutakuwa na mahotel kweli si tu tumetoka kuona na ya Nonda Shabaan. Sema tu ni vita hawa jamaa ingetakiwa wawe mbali sana
 
Well said mkuu! Kwa hawa majanky we2 wa bongo hzi mambo bado xna, as dzain wanakumbukaga STAPE wkt music ishakwisha.
 
inaonekana kutakuwa na live bendi kuanzia J3 hadi J3
 
Mzee wangu ngurumo ujumbe unakuhusu huu
 
Mbavu zangu umezivunja mkuu.Vyombo vya Band vyenyewe wanaomba msaada wasaidiwe kufika huko mpaka yesu arudi.Mr Nice salaam zikufikie
Mzee wangu ngurumo ujumbe unakuhusu huu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…