Ni ukweli kabisaaKoffi olomide ni msanii wangu No. 1 duniani huyu mtu ni fundi wa ajabu katika hisia zangu za kimaisha, Nina playlist ya Koffi ngoma kama 40+
Haki ya mungu kuna watu unaweza tamani wasife hapa duniani Mmoja wapo ni Koffi Olomide na Cristiano Ronaldo