Hata Papa Wemba nae japo sasa ameshakuwa " mavumbi " lakini nae huko huko laana za Wakongo aliokuwa akiwabebesha " ngada " na kuwafanya " Watumwa " huko Ufaransa na Ubelgiji na kupelekea wengi wao sasa kufungwa nazo hazitamwacha.
Anakamatwa kwa sababu ni maarufu tu, huku mitaani watu wanapiga wake zao kama mabondia na hakuna chochote, Ila kile kiteke cha koffi kinaonekana nongwa, umaarufu wake umemponza!
Mkuu kumbuka kuwa huyu ni public figure so hakutakiwa kufanya vile ya watu wengi tena isitoshe kwa ujio wake lazma kutakuwa na vyombo vya habari ilikuwa haileti picha nzuri.Lakini sisi huku uswahili tunaadabishana tu baada ya kupiga ngumu kumeza zetu wala serikali haina mpango na sisi.
Anakamatwa kwa sababu ni maarufu tu, huku mitaani watu wanapiga wake zao kama mabondia na hakuna chochote, Ila kile kiteke cha koffi kinaonekana nongwa, umaarufu wake umemponza!
Anakamatwa kwa sababu ni maarufu tu, huku mitaani watu wanapiga wake zao kama mabondia na hakuna chochote, Ila kile kiteke cha koffi kinaonekana nongwa, umaarufu wake umemponza!
Anakamatwa kwa sababu ni maarufu tu, huku mitaani watu wanapiga wake zao kama mabondia na hakuna chochote, Ila kile kiteke cha koffi kinaonekana nongwa, umaarufu wake umemponza!
Yes ndivyo ilivyo ' ameshindwa kijitambua kuwa ni kioo cha jamii, karibu dunia nzima inamtazama, lazima aadabishwe " na Kama hili swala wangeliacha kirahisi basi lingeleta picha tofauti sana katika jamii, Ni haki yake
Anakamatwa kwa sababu ni maarufu tu, huku mitaani watu wanapiga wake zao kama mabondia na hakuna chochote, Ila kile kiteke cha koffi kinaonekana nongwa, umaarufu wake umemponza!
samahani Eva kama nitakuwa nimekukwaza kwa mtazamo wangu.
lakini the guy was defending mpenzi wake from the dancers' abuses ...alikuwa na Hasira and he did the right thing
ishu ya kofi watu wameamua tu kuifanyia publicity isiyo ya muhimu

Wala hujanikwaza usijali......
Hata kama alikua anamdefend mke wake, hilo teke hakustahili kupigwa huyo dada asee nimemuonea huruma sijui kama nyonga ipo salama teh