Mtukutu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 1,179
- 1,500
Soma vizuri nilichoandikaUnataka mziki mzuri au unataka bass nzito tu tuanzie hapo
AhaChukua Mr uk.
Mkuu kama unataka seapiano chukua SP-1002
Sawa mkuuMkuu kama unataka seapiano chukua SP-1002
Sidhani kama hisense ana Sabufa ila ana soundbars, kwa watu wanaopenda kelele waendelee na hizo masabufa, soundbars hazina makelele ya kipuuzi.Hisense anakalishwa na seapeano,tafuta seapiano ana matoleo mapya mauri sana
Hisense hamna mziki mle,kama ni soundbar atafute walau vizio, ila kama yuko poa atafute harman kardon/jblSidhani kama hisense ana Sabufa ila ana soundbars, kwa watu wanaopenda kelele waendelee na hizo masabufa, soundbars hazina makelele ya kipuuz
Mzee, hakuna soundbars yoyote ile yenye kelele, makelele ya kipuuzi yapo huko kweny masabufa.Hisense hamna mziki mle,kama ni soundbar atafute walau vizio, ila kama yuko poa atafute harman kardon/jbl
Bro situmii sub mimi, hata kwangu soundbar bado ni mziki wa kipuuzi tu, natumia Yamaha Avantage Rx A 3020 , ka google uone balaa lake. Hizo saoundbar za mchongo, copy za mchina bado hamna kituMzee, hakuna soundbars yoyote ile yenye kelele, makelele ya kipuuzi yapo huko kweny masabufa.
Tatizo mshazoea makelele ya Sabufa bc mkinunua na soundbars mnategemea kupata the same kelele
Hakuna sub yoyote ya mchina inayotia mguu kwa seapiano hata baadhi ya audio gear zeye majina zinapigwa gap, jamaa wanajitahidi sana, sound componet anazotumia kwenye chip zake ni nzuri, ukifungua amplifier plate ya seapeano na sub nyingine kuna utofauti mkubwa sanaUkipata Sea Piano New Model huo mziki wake hakuna mfano Nunua Mpya Used nyingi zinakuwa zimechoka spika kubwa ya bass
Nmeiona, haya endelea nayo mkuu 😂Bro situmii sub mimi, hata kwangu soundbar bado ni mziki wa kipuuzi tu, natumia Yamaha Avantage Rx A 3020 , ka google uone balaa lake. Hizo saoundbar za mchongo, copy za mchina bado hamna kitu
Sasa huko kwenye AVR ndio kuna option zote za mziki na movie, setting za kutosha, connection za apeaker za kutosha, ukiingiia huko hutakaa utoke kamwe! Karibu sanaNmeiona, haya endelea nayo mkuu 😂
Mtu wa kununua Harman Kardon hawezi fikiria Kodtec na hayo matarumbeta mengine.Hisense hamna mziki mle,kama ni soundbar atafute walau vizio, ila kama yuko poa atafute harman kardon/jbl
Na bongo zimejaa ronya tupu,.mchina kashika hatam, miziki ya mtumba/used nayo ni ya kulenga kwa manati, hazipatikaniMtu wa kununua Harman Kardon hawezi fikiria Kodtec na hayo matarumbeta mengine.
Hisense mziki hamna, iko overated. Vizio za bei ya kuendana ni used, wengine hawapendi heka heka za vitu used.
Upo sahihi mkuuHakuna sub yoyote ya mchina inayotia mguu kwa seapiano hata baadhi ya audio gear zeye majina zinapigwa gap, jamaa wanajitahidi sana, sound componet anazotumia kwenye chip zake ni nzuri, ukifungua amplifier plate ya seapeano na sub nyingine kuna utofauti mkubwa sana