mwalimu mkweli
Member
- Dec 23, 2017
- 35
- 69
We sio mfanyabiashara ,Utaratibu wa kodi upo hivi nakuwekea muda yani mfano kutokana na biashara yako kila mwisho wa mwezi utatulipa kodi ya shilingi milioni sasa ikifika huo muda hujalipa hiyo kuna hatua na taratibu nyengine ikiwemo kupewa kumbusho (notice) la muda fulani haizidi siku 30.
Baada ya huo muda kuisha maana yake kinachofuata nifaini kwa kila mwezi kuanzia hapo. Sasa kilichopo ilikuwa hivi:-
Muda wakulipa umeisha kashapewa notice imepita muda wake faini imeenda hata miezi sita yani kodi na faini walichokuwa wanakifanya T.R.A wanakaa chini wanakubaliana deni analodaiwa labda milioni 50 anaulizwa kiasi anachoweza kukilipa anakwambia labda milioni 15 analipa kwa hiyo ile 35 imepotea sasa yule anakuja kupatana nae ili akutete ana asilimia kumi yake
Ama kwamfanya biashara alikuwa anaenda brela anabadilisha jina la kampuni lakini bishara ile ile anaonekana kampuni jipya anakuwa kakwepa kodi kirahisi tu Serikali.
Nahizo ndiyo njia mbili za ukwepaji kodi
WAKATI WA MAGUFULI KILIFANYIKA NINI?
Alitengeneza timu maalumu(task force) ambayo ilipewa kazi maalumu ya kukusanya kodi na madeni yote sugu
Kwanza
Muda wa notice ukiisha tu wanakufuata ulipe kama hauna basi utatakiwa kufunga biashara kulikuko kuendelea kufanya biashara na haulipi kitu serikalini.
Pili
Madeni ya nyuma yote wakiyakusanya kwakutumia kanuni za mufilisi na siyo tu kuishia kukufungia..Lakini kwanza walikuwa wanakupa nafasi kiwango utakachoweza kulipa.
Katika mfumo huu ilikuwa ni ngumu mtu kukwepa kodi ingawa hatukati kila kila kitu kina kuwa namapungufu ila yalikuwa yanatakiwa kufanyiwa marekebisho.
Mfanyabiashara anakaa kwako anafanya biashara kila siku anakwambia sijapata faida sasa si bora afunge hiyo bishara kabisa.
Swali kudai kodi kwakutumia taski force unaiita kodi ya dhuluma haya mama kusanya hiyo halali siye yetu macho.
Bila shaka we ni mfanyakazi wa TRA nikweri nyinyi ni Majambazi unatetea ujinga wakati watu tunaumia we CUMER
Dah mkuu wangu ulipewa ya uhujumu nini [emoji16]we ni K na unauzi wako wakiseng we ni kkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkUMA
Watu kama nyie manatakiwa kufungsa jiwe na kutupwa bahariUtaratibu wa kodi upo hivi nakuwekea muda yani mfano kutokana na biashara yako kila mwisho wa mwezi utatulipa kodi ya shilingi milioni sasa ikifika huo muda hujalipa hiyo kuna hatua na taratibu nyengine ikiwemo kupewa kumbusho (notice) la muda fulani haizidi siku 30.
Baada ya huo muda kuisha maana yake kinachofuata nifaini kwa kila mwezi kuanzia hapo. Sasa kilichopo ilikuwa hivi:-
Muda wakulipa umeisha kashapewa notice imepita muda wake faini imeenda hata miezi sita yani kodi na faini walichokuwa wanakifanya T.R.A wanakaa chini wanakubaliana deni analodaiwa labda milioni 50 anaulizwa kiasi anachoweza kukilipa anakwambia labda milioni 15 analipa kwa hiyo ile 35 imepotea sasa yule anakuja kupatana nae ili akutete ana asilimia kumi yake
Ama kwamfanya biashara alikuwa anaenda brela anabadilisha jina la kampuni lakini bishara ile ile anaonekana kampuni jipya anakuwa kakwepa kodi kirahisi tu Serikali.
Nahizo ndiyo njia mbili za ukwepaji kodi
WAKATI WA MAGUFULI KILIFANYIKA NINI?
Alitengeneza timu maalumu(task force) ambayo ilipewa kazi maalumu ya kukusanya kodi na madeni yote sugu
Kwanza
Muda wa notice ukiisha tu wanakufuata ulipe kama hauna basi utatakiwa kufunga biashara kulikuko kuendelea kufanya biashara na haulipi kitu serikalini.
Pili
Madeni ya nyuma yote wakiyakusanya kwakutumia kanuni za mufilisi na siyo tu kuishia kukufungia..Lakini kwanza walikuwa wanakupa nafasi kiwango utakachoweza kulipa.
Katika mfumo huu ilikuwa ni ngumu mtu kukwepa kodi ingawa hatukati kila kila kitu kina kuwa namapungufu ila yalikuwa yanatakiwa kufanyiwa marekebisho.
Mfanyabiashara anakaa kwako anafanya biashara kila siku anakwambia sijapata faida sasa si bora afunge hiyo bishara kabisa.
Swali kudai kodi kwakutumia taski force unaiita kodi ya dhuluma haya mama kusanya hiyo halali siye yetu macho.
Ukiandika barua unaandika mbili moja unawaachia ingine wanagonga muhuri kuwa wamepokea unaenda kuweka kwenye kumbukumbu zako.Kuna watu waliandika barua kufilisika biashara zao,hakuna barua wanayojibu hawa tra.Lengo waje wakugeuke hukuwapa taarifa wakudai kama mlimbikiza kodi! Hzo ndio kodi za dhulma pia.
Duh JF imekua sana.we ni K na unauzi wako wakiseng we ni kkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkUMA
Ndiyo Ukweli WenyeweTRA mnajaribu kujitetea? Kwamba yupo asiyejua?
Kodi ya dhuluma ni yoyote mliokuwa mnabambikiza! Awamu ya 5 mmebambikiza kweri kweri!
Au nasema uongo ndugu zangu?
Ukweli mchungu,Kitu nimenote mama hana uelewa mpana wa baadhi ya mambo.Kabla hajazungumza akae ajifunze kwanza, otherwise atakwama.Utaratibu wa kodi upo hivi nakuwekea muda yani mfano kutokana na biashara yako kila mwisho wa mwezi utatulipa kodi ya shilingi milioni sasa ikifika huo muda hujalipa hiyo kuna hatua na taratibu nyengine ikiwemo kupewa kumbusho (notice) la muda fulani haizidi siku 30.
Baada ya huo muda kuisha maana yake kinachofuata nifaini kwa kila mwezi kuanzia hapo. Sasa kilichopo ilikuwa hivi:-
Muda wakulipa umeisha kashapewa notice imepita muda wake faini imeenda hata miezi sita yani kodi na faini walichokuwa wanakifanya T.R.A wanakaa chini wanakubaliana deni analodaiwa labda milioni 50 anaulizwa kiasi anachoweza kukilipa anakwambia labda milioni 15 analipa kwa hiyo ile 35 imepotea sasa yule anakuja kupatana nae ili akutete ana asilimia kumi yake
Ama kwamfanya biashara alikuwa anaenda brela anabadilisha jina la kampuni lakini bishara ile ile anaonekana kampuni jipya anakuwa kakwepa kodi kirahisi tu Serikali.
Nahizo ndiyo njia mbili za ukwepaji kodi
WAKATI WA MAGUFULI KILIFANYIKA NINI?
Alitengeneza timu maalumu(task force) ambayo ilipewa kazi maalumu ya kukusanya kodi na madeni yote sugu
Kwanza
Muda wa notice ukiisha tu wanakufuata ulipe kama hauna basi utatakiwa kufunga biashara kulikuko kuendelea kufanya biashara na haulipi kitu serikalini.
Pili
Madeni ya nyuma yote wakiyakusanya kwakutumia kanuni za mufilisi na siyo tu kuishia kukufungia..Lakini kwanza walikuwa wanakupa nafasi kiwango utakachoweza kulipa.
Katika mfumo huu ilikuwa ni ngumu mtu kukwepa kodi ingawa hatukati kila kila kitu kina kuwa namapungufu ila yalikuwa yanatakiwa kufanyiwa marekebisho.
Mfanyabiashara anakaa kwako anafanya biashara kila siku anakwambia sijapata faida sasa si bora afunge hiyo bishara kabisa.
Swali kudai kodi kwakutumia taski force unaiita kodi ya dhuluma haya mama kusanya hiyo halali siye yetu macho.
Ukweli mchungu,Kitu nimenote mama hana uelewa mpana wa baadhi ya mambo.Kabla hajazungumza akae ajifunze kwanza, otherwise atakwama.
JPM alitengeneza misingi ya nchi kujitegemea hapo baadae,mama naona anataka turudi nyuma kwenye mambo ya kuwapigia magoti mabwenyenye.
Unajitekenya halafu unacheka mwenyewe.Utaratibu wa kodi upo hivi nakuwekea muda yani mfano kutokana na biashara yako kila mwisho wa mwezi utatulipa kodi ya shilingi milioni sasa ikifika huo muda hujalipa hiyo kuna hatua na taratibu nyengine ikiwemo kupewa kumbusho (notice) la muda fulani haizidi siku 30.
Baada ya huo muda kuisha maana yake kinachofuata nifaini kwa kila mwezi kuanzia hapo. Sasa kilichopo ilikuwa hivi:-
Muda wakulipa umeisha kashapewa notice imepita muda wake faini imeenda hata miezi sita yani kodi na faini walichokuwa wanakifanya T.R.A wanakaa chini wanakubaliana deni analodaiwa labda milioni 50 anaulizwa kiasi anachoweza kukilipa anakwambia labda milioni 15 analipa kwa hiyo ile 35 imepotea sasa yule anakuja kupatana nae ili akutete ana asilimia kumi yake
Ama kwamfanya biashara alikuwa anaenda brela anabadilisha jina la kampuni lakini bishara ile ile anaonekana kampuni jipya anakuwa kakwepa kodi kirahisi tu Serikali.
Nahizo ndiyo njia mbili za ukwepaji kodi
WAKATI WA MAGUFULI KILIFANYIKA NINI?
Alitengeneza timu maalumu(task force) ambayo ilipewa kazi maalumu ya kukusanya kodi na madeni yote sugu
Kwanza
Muda wa notice ukiisha tu wanakufuata ulipe kama hauna basi utatakiwa kufunga biashara kulikuko kuendelea kufanya biashara na haulipi kitu serikalini.
Pili
Madeni ya nyuma yote wakiyakusanya kwakutumia kanuni za mufilisi na siyo tu kuishia kukufungia..Lakini kwanza walikuwa wanakupa nafasi kiwango utakachoweza kulipa.
Katika mfumo huu ilikuwa ni ngumu mtu kukwepa kodi ingawa hatukati kila kila kitu kina kuwa namapungufu ila yalikuwa yanatakiwa kufanyiwa marekebisho.
Mfanyabiashara anakaa kwako anafanya biashara kila siku anakwambia sijapata faida sasa si bora afunge hiyo bishara kabisa.
Swali kudai kodi kwakutumia taski force unaiita kodi ya dhuluma haya mama kusanya hiyo halali siye yetu macho.
Utaratibu wa kodi upo hivi nakuwekea muda yani mfano kutokana na biashara yako kila mwisho wa mwezi utatulipa kodi ya shilingi milioni sasa ikifika huo muda hujalipa hiyo kuna hatua na taratibu nyengine ikiwemo kupewa kumbusho (notice) la muda fulani haizidi siku 30.
Baada ya huo muda kuisha maana yake kinachofuata nifaini kwa kila mwezi kuanzia hapo. Sasa kilichopo ilikuwa hivi:-
Muda wakulipa umeisha kashapewa notice imepita muda wake faini imeenda hata miezi sita yani kodi na faini walichokuwa wanakifanya T.R.A wanakaa chini wanakubaliana deni analodaiwa labda milioni 50 anaulizwa kiasi anachoweza kukilipa anakwambia labda milioni 15 analipa kwa hiyo ile 35 imepotea sasa yule anakuja kupatana nae ili akutete ana asilimia kumi yake
Ama kwamfanya biashara alikuwa anaenda brela anabadilisha jina la kampuni lakini bishara ile ile anaonekana kampuni jipya anakuwa kakwepa kodi kirahisi tu Serikali.
Nahizo ndiyo njia mbili za ukwepaji kodi
WAKATI WA MAGUFULI KILIFANYIKA NINI?
Alitengeneza timu maalumu(task force) ambayo ilipewa kazi maalumu ya kukusanya kodi na madeni yote sugu
Kwanza
Muda wa notice ukiisha tu wanakufuata ulipe kama hauna basi utatakiwa kufunga biashara kulikuko kuendelea kufanya biashara na haulipi kitu serikalini.
Pili
Madeni ya nyuma yote wakiyakusanya kwakutumia kanuni za mufilisi na siyo tu kuishia kukufungia..Lakini kwanza walikuwa wanakupa nafasi kiwango utakachoweza kulipa.
Katika mfumo huu ilikuwa ni ngumu mtu kukwepa kodi ingawa hatukati kila kila kitu kina kuwa namapungufu ila yalikuwa yanatakiwa kufanyiwa marekebisho.
Mfanyabiashara anakaa kwako anafanya biashara kila siku anakwambia sijapata faida sasa si bora afunge hiyo bishara kabisa.
Swali kudai kodi kwakutumia taski force unaiita kodi ya dhuluma haya mama kusanya hiyo halali siye yetu macho.
Unajitekenya halafu unacheka mwenyewe.
Kuna watu mliwabambikia kesi hadi wakajiua.
Nyie mashetani zama zenu zimeisha. Bosi wenu kafa na nyinyi jela inawaita.