mwalimu mkweli
Member
- Dec 23, 2017
- 35
- 69
Utaratibu wa kodi upo hivi nakuwekea muda yani mfano kutokana na biashara yako kila mwisho wa mwezi utatulipa kodi ya shilingi milioni sasa ikifika huo muda hujalipa hiyo kuna hatua na taratibu nyengine ikiwemo kupewa kumbusho (notice) la muda fulani haizidi siku 30.
Baada ya huo muda kuisha maana yake kinachofuata nifaini kwa kila mwezi kuanzia hapo. Sasa kilichopo ilikuwa hivi:-
Muda wakulipa umeisha kashapewa notice imepita muda wake faini imeenda hata miezi sita yani kodi na faini walichokuwa wanakifanya T.R.A wanakaa chini wanakubaliana deni analodaiwa labda milioni 50 anaulizwa kiasi anachoweza kukilipa anakwambia labda milioni 15 analipa kwa hiyo ile 35 imepotea sasa yule anakuja kupatana nae ili akutete ana asilimia kumi yake
Ama kwamfanya biashara alikuwa anaenda brela anabadilisha jina la kampuni lakini bishara ile ile anaonekana kampuni jipya anakuwa kakwepa kodi kirahisi tu Serikali.
Nahizo ndiyo njia mbili za ukwepaji kodi
WAKATI WA MAGUFULI KILIFANYIKA NINI?
Alitengeneza timu maalumu(task force) ambayo ilipewa kazi maalumu ya kukusanya kodi na madeni yote sugu
Kwanza
Muda wa notice ukiisha tu wanakufuata ulipe kama hauna basi utatakiwa kufunga biashara kulikuko kuendelea kufanya biashara na haulipi kitu serikalini.
Pili
Madeni ya nyuma yote wakiyakusanya kwakutumia kanuni za mufilisi na siyo tu kuishia kukufungia..Lakini kwanza walikuwa wanakupa nafasi kiwango utakachoweza kulipa.
Katika mfumo huu ilikuwa ni ngumu mtu kukwepa kodi ingawa hatukati kila kila kitu kina kuwa namapungufu ila yalikuwa yanatakiwa kufanyiwa marekebisho.
Mfanyabiashara anakaa kwako anafanya biashara kila siku anakwambia sijapata faida sasa si bora afunge hiyo bishara kabisa.
Swali kudai kodi kwakutumia taski force unaiita kodi ya dhuluma haya mama kusanya hiyo halali siye yetu macho.