Kodi ya ongezeko la thamani yaani VAT hutozwa kwa walaji kwa kuongeza 18% kwenye bei za bidhaa au huduma. Kodi hii hukusanywa na muuza bidhaa au mtoa huduma na hupelekwa TRA baada ya kuondoa kodi aliyolipa muuza bidhaa au mtoa huduma.
Mfanyabiashara yoyote mwenye mauzo yanazidi TZS 100 million kwa mwaka au TZS 25 million kwa miezi mitatu anatakiwa kujiandikisha na kodi hii, kutokufanya hivyo ni kosa kwa mujibu wa sheria ya VAT.
Kwa elimu na ushauri zaidi tuma email
vabusiness@habari.co.tz au tembelea website yetu
www.vabusiness.co.tz