Kodi ya kuingiza Rav4/Mark2Grande/Verrosa!

King Kong III

Platinum Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
62,806
Reaction score
94,912
Habari wadau,
Naomba kujuzwa exactly bei ya ushuru(total taxes) ya kuingiza gari tajwa hapo juu kwa mtu ambaye ameingiza na sio hyo ya kukokotoa kwenye Exel sheets maana tanzania taasisi zake zinafanya kazi kama waganga wa kienyeji,unaweza ukafatisha hyo ya kwenye exel lkn ukienda live unapigwa tofauti na ile ya kwenye sheet,sasa kwa mtu anayejua anipe bei exactly ya kodi wanayotoza TRA,gari zote ni za 2003 na si mbaya ukanipa na 2001.

Nawasilisha.
 
mmmh... Judgement bro wangu anajua...ngoja nimDIP
 
Last edited by a moderator:
Hii sasa si ingeenda kule matangazo
Madogo2?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…