tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,143
napenda kutoa pongezi kwa viongozi wa chadema na wananchi wote wa Arusha,kudhihirisha kuwa ccm hawana chao hapo.
Nianze pia kupongeza ccm kwa kujiandalia kaburi 2015,kodi ya simu iliyopitishwa na serikala shs 1000 kwa mwezi mi ningependa iwe hata 5000 ili watanzania tuamke na kusema basi ccm kuongoza nchi hii,watanzania tusilalamike wala tusiandamane tuliichagua ccm kwa hali na nguvu mpya,na hii iwe fimbo kwa ccm 2015,nawasihi chadema msiitishe maandamano hii itakua kura turufu 2015 nawasilisha.