Kodi ni nyingi ni kubwa mno! Zipunguzwe

Ibrahim Jeremiah

New Member
Sep 1, 2016
4
1
Hali ya mzunguko wa fedha nchini ni mbaya
na bei za bidhaa zinapanda kila siku.

Sekta binafsi nyingi zinakufa
Biashara zinakufa nyingi

Ongezeko la kodi ni kubwa mno
Karibu kila mwaka kuna ongezeko la kodi la asilimia 100

Itakuwa ni ndoto kuifikia Tanzania ya viwanda ikiwa kodi ni kubwa kiasi hiki kwasababu wawekezaji hawatavutiwa kuwekeza.

Mazingira ya uwekezaji ni pamoja na viwango vya kodi

Nchi yetu ina lundo la kodi

Lazima serikali iwe na ubunifu wa kupata vyanzo vya mapato na ni vema serikali ikapunguza kodi ili kuziinua sekta binafsi!

Ikumbukwe kuwa sekta binafsi ndiye muajiri mkubwa Tanzania

Hali inavyokuwa mbaya sekta binafsi zinaendelea kupunguza wafanyakazi hivyo itasababisha mlipuko wa bomu kubwa la ajira lakini zikifa tutakosa mapato na kuongeza matatizo zaidi!
 
hoja yako c mpaka mtukufu mwinyi mkuru akuelewe? hajaribiwa wala hashaurik! unamawazo mazur lkn wazo lako likieleweka shukuru Mungu.
 
Back
Top Bottom