engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
Anae kulipa mshahara ndie anaekukata kodi. kwahiyo wewe assume tu kwamba mshahara wako ni millioni moja na hukatwi kodi.basi.Kodi hii inayokatwa ktk mishahara ya wafanyakazi wa umma ipunguzwe imekuwa ni kero.kwa mfano mfanyakazi anapata mshahara wa 1,255,000.00,lakini analipa kodi 232,280. Kodi yote hii inakwenda wapi na inafanya mambo gani ya msingi ambayo yanaonekana ktk macho ya umma?
Tunaumia sana tunategemea mheshimiwa raisi atalifanyia kazi kwa sababu alilizungumza wakati anazindua bunge.Kodi hii inayokatwa ktk mishahara ya wafanyakazi wa umma ipunguzwe imekuwa ni kero.kwa mfano mfanyakazi anapata mshahara wa 1,255,000.00,lakini analipa kodi 232,280. Kodi yote hii inakwenda wapi na inafanya mambo gani ya msingi ambayo yanaonekana ktk macho ya umma?
Kulipa kodi ni lazima na kama hutaki hamia nchi nyingine huko wasikolipa kodi.Kama kazi uliyonyo unaona mshahara haukutoshi,ACHA TAFUTA YENYE MSHAHARA UNAOKUTOSHA.Thats simple........................Kodi hii inayokatwa ktk mishahara ya wafanyakazi wa umma ipunguzwe imekuwa ni kero.kwa mfano mfanyakazi anapata mshahara wa 1,255,000.00,lakini analipa kodi 232,280. Kodi yote hii inakwenda wapi na inafanya mambo gani ya msingi ambayo yanaonekana ktk macho ya umma?
Kodi hii inayokatwa ktk mishahara ya wafanyakazi wa umma ipunguzwe imekuwa ni kero.kwa mfano mfanyakazi anapata mshahara wa 1,255,000.00,lakini analipa kodi 232,280. Kodi yote hii inakwenda wapi na inafanya mambo gani ya msingi ambayo yanaonekana ktk macho ya umma?
Kulipa kodi ni lazima na kama hutaki hamia nchi nyingine huko wasikolipa kodi.Kama kazi uliyonyo unaona mshahara haukutoshi,ACHA TAFUTA YENYE MSHAHARA UNAOKUTOSHA.Thats simple........................