kodak z981 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kodak z981

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shedafa, Jan 9, 2011.

 1. Shedafa

  Shedafa JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2011
  Joined: May 21, 2008
  Messages: 802
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Wadau,
  Naomba mwenye taarifa yoyote(uzuri/ubaya) juu ya hii digital camera, anijuze. Kuna mtu anaiuza, amepatwa na shida na kama mjuavyo kimfaacho mtu chake.
  Nawakilisha.
   
 2. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kampuni kongwe na iliyobobea kwenye mambo ya picha kwa miaka mingi sana
   
 3. Shedafa

  Shedafa JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2011
  Joined: May 21, 2008
  Messages: 802
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Asante kwa tathmini mkuu, je una ufahamu wowote juu ya aina hii ya camera?
   
Loading...