Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,725
- 218,288
And vise versa is totally true according to your notionCoaches are hired to be fired.
Nakubaliana na wewe, kwenye uzuri wa kocha, shida ya Barcelona msimu huu ndo ulikua wa kuanza kutengeneza timu,,nalo limeshindwa kufanyika kwa sababu ya corona timu haina fedha.Kocha mzuri
Shida Barca kuna wachezaji wanapewa heshima wasiostahili.
Kama Gerald Pique ataweza vipi kumkaba Mbappe?Kageuzwa uchochoro ndo sababu wamefungwa.
Barca Pique wanam treat kama someone special Kwa sababu anatoka Catalan.
Wakati Hana ubavu wa kukaba kina Mbappe Kwa sasa.
Ukabila ndo chanzo cha timu kufungwa jana
Kumbukeni pia timu IPO kwenye uchaguzi kuna hujuma kati ya makundi, yanayotaka kuweka mgombea wao,next ni financial situation ya club kwasasa.Nakubaliana na wewe, kwenye uzuri wa kocha, shida ya Barcelona msimu huu ndo ulikua wa kuanza kutengeneza timu,,nalo limeshindwa kufanyika kwa sababu ya corona timu haina fedha.
Hapo kwenye kunkubatia Pique kwenye game ya Jana sikubaliani nawe, baki anayetegemewa saizi pale barca ni Arouja dogo ni majeruhi na dogo mwingine ni majeruhi.
Pique ametoka kurudi na hii Ndio mechi yake ya kwanza, Umtiti na Lenglet wote wanatumia left foot uwezi kuwaanzisha kwa pamoja. Ko Pique ilikua option ya mwisho kwa jana. Uwezi kujaji ubovu wa kocha kwa kikosi kama kile. Apewe hela aingie sokoni
And vise versa is totally true according to your notion
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Hawawezi kuntimua maana timu kaikutaKwa kadri ya kumbukumbu zangu huyu ndio kocha wa kiwango cha chini mno kuwahi kufundisha timu hii.
Baada ya kutandikwa nyumbani kwao bao 4 na PSG namtabiria kufukuzwa.
Tangu Bayern, hii timu ilihitaji total overhaul kwenye defence.Kocha mzuri
Shida Barca kuna wachezaji wanapewa heshima wasiostahili.
Kama Gerald Pique ataweza vipi kumkaba Mbappe?Kageuzwa uchochoro ndo sababu wamefungwa.
Barca Pique wanam treat kama someone special Kwa sababu anatoka Catalan.
Wakati Hana ubavu wa kukaba kina Mbappe Kwa sasa.
Ukabila ndo chanzo cha timu kufungwa jana
Nakubaliana nawe kuwa kocha si tatizo sababu timu ipo kwenye transition.Nakubaliana na wewe, kwenye uzuri wa kocha, shida ya Barcelona msimu huu ndo ulikua wa kuanza kutengeneza timu,,nalo limeshindwa kufanyika kwa sababu ya corona timu haina fedha.