sikongefdc
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,610
- 2,158
Wanaume kazini, wameona jezi nyeupe wakahisi wanacheza na wale wahuni nyange nyange. Ni over 5.5 tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hivyo tumekosa magoli Mengi ya wazi kiasi LA pulga Leo hakuwa makiniTulikua tunahuakika wakushinda ndio maana mechi ya kwanza aliweka majalibio
Sent using Jamii Forums mobile app