kibaigwa finest
JF-Expert Member
- Oct 18, 2026
- 351
- 382
Unaamiwa kocha mpya wa yanga Ni hatari anabalaa zito Kuna timu zitaacha ndala
Moja ya members wawili ninao wadharau kwenye hili jukwaa langu pendwa la michezo; basi wewe mjomba umo. Namba moja ni Popoma.Unaamiwa kocha mpya wa yanga Ni hatari anabalaa zito Kuna timu zitaacha ndala
halafu mnataka ccm itoke madarakani?Ujinga hauwezi kukuacha salama
hahahahaha unaeza kuta jamaa ni kutoka abdul jumbe secondary ,Moja ya members wawili ninao wadharau kwenye hili jukwaa langu pendwa la michezo; basi wewe mjomba umo. Namba moja ni Popoma.
Post za saa sita Usiku.Unaamiwa kocha mpya wa yanga Ni hatari anabalaa zito Kuna timu zitaacha ndala
Mmeanza kudharauliana ninyi kwa ninyi 😀😀😀Moja ya members wawili ninao wadharau kwenye hili jukwaa langu pendwa la michezo; basi wewe mjomba umo. Namba moja ni Popoma.
Mdau uko poa?Naunga mkono hoja,awafaa
Niko poa mkuu nashkuru Mungu.Mdau uko poa?
Nakumbuka siku moja ulitupa live Updates za game moja hivi.
Ulipita na ile game 100 kwa 100
Bado ni mapema sana, timu inaweza ikaanza vyema na ikaharibu mbeleni na inaweza ikaharibu mwanzo na mbeleni ikafanya mapema. Gap la 5 ni dogo sana, pili perfomance mbaya ya Yanga tusubiri kocha ajaye atakuja na kitu gani, anaweza akaja kocha mzuri sana na timu ikakaa stable.YANGA mwaka huu hatuna chetu,tuwaache tu watani wafurahie mafanikio yao msimu huu,wako kwenye ubora mkubwa.
Yanga wachezaji wanacheza kama wamefungwa mawe miguuni.
Unafaha upewe kitendo Muhimbili pale cha kuwatia moyo wagongwa wanao karibia kufa.Bado ni mapema sana, timu inaweza ikaanza vyema na ikaharibu mbeleni na inaweza ikaharibu mwanzo na mbeleni ikafanya mapema. Gap la 5 ni dogo sana, pili perfomance mbaya ya Yanga tusubiri kocha ajaye atakuja na kitu gani, anaweza akaja kocha mzuri sana na timu ikakaa stable.
Sema Yanga tumekuwa tukicheza mpira mbovu sana hivi karibuni, ni aibu. Hii timu Manqoba angeendelea kuwepo sijui hali ingekuaje, inaonekana timu ilishaanza kukatika pakubwa sana. Kocha mpya aje tu mapema ili kuanza kusuka upya kikosi na kufanya mabadiliko.Unafaha upewe kitendo Muhimbili pale cha kuwatia moyo wagongwa wanao karibia kufa.
Kimpira huko sahihi,ngoja tusubiri...