mugah di matheo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 6,344 Reaction score 12,472 Aug 5, 2021 #1 Kocha mashuhuri nchini bwana Hassan Banyai amefariki dunia leo. Enzi za uhai wake alikuwa ni miongoni mwa makocha waliopandisha timu nyingi daraja kama vile Mwadui na Njombe mji. Pia amewahi kuifundisha Geita Gold.
Kocha mashuhuri nchini bwana Hassan Banyai amefariki dunia leo. Enzi za uhai wake alikuwa ni miongoni mwa makocha waliopandisha timu nyingi daraja kama vile Mwadui na Njombe mji. Pia amewahi kuifundisha Geita Gold.
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,402 Reaction score 99,266 Aug 5, 2021 #2 Poleni Ndugu , Jamaa na Marafiki.
denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,486 Reaction score 68,288 Aug 5, 2021 #3 Apumzike kwa amani.
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,062 Reaction score 168,726 Aug 5, 2021 #4 mugah di mathew said: Kocha mashuhuri nchini bwana Hassan Banyai amefariki dunia leo. Enzi za uhai wake alikuwa ni miongoni mwa makocha waliopandisha timu nyingi daraja kama vile Mwadui na Njombe mji. Pia amewahi kuifundisha Geita Gold Click to expand... Dah, Mungu amrehemu. Hakuwa kocha wa makombe, ila wa kuzipndisha daraja timu ili zishuke Tena, azipandishe Tena...... Mungu kweli anajua kumpa kila mtu riziki yake
mugah di mathew said: Kocha mashuhuri nchini bwana Hassan Banyai amefariki dunia leo. Enzi za uhai wake alikuwa ni miongoni mwa makocha waliopandisha timu nyingi daraja kama vile Mwadui na Njombe mji. Pia amewahi kuifundisha Geita Gold Click to expand... Dah, Mungu amrehemu. Hakuwa kocha wa makombe, ila wa kuzipndisha daraja timu ili zishuke Tena, azipandishe Tena...... Mungu kweli anajua kumpa kila mtu riziki yake
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 56,026 Reaction score 56,112 Aug 5, 2021 #5 Apumzike kwa Amani
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,653 Reaction score 138,784 Aug 6, 2021 #7 Pole nyingi kwa wafiwa na wanafamilia wa mpira wa miguu nchini.
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 22,997 Reaction score 46,204 Aug 6, 2021 #8 R.l.P