Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,304
- 2,152
Hivi ile barua yenu imeshajibiwa,😅😅😅Furaha yangu ni kuona Makolo wakikosa furaha na litimu lao la mchongo.
Tujenge timu haya tuachane nayo kwanzaHivi ile barua yenu imeshajibiwa,😅😅😅
Aende anajiendea tu au mpaka ahitajiweBila kupoteza muda moja kwa moja kwenye mada.
Kwa mambo na mwendelezo wa jaribu tena FC aka makolo,kocha Benchika ni vema ukajitenga na timu hii kwa faida yako.
Timu ipo kiuswahili Swahili sana na kuendeshwa kijanja janja.
Msimuu huu hutaambulia taji lolote hapa utaenda kuchafua CV yako nzuri.
Walio karibu na kocha huyu mtaalamu wa mpira wa mwambie ni bora apate hasara ya kuondoka kuliko kuchafua CV.
Nenda kwenye timu zenye malengo zipo nyingi hapa Afrika.
Hii ya Azam kwenda club bingwa haina faida, Azam yale mashindano hayawezi, akapambane shirikisho huko.Simba walikuwa bize na Mamelodi wakasahau kama Wana timu inashiriki mashindano.
Sasa akili zitawarudia pale watakapokosa hata tiketi ya kushiriki club bingwa mwakani.
Nafasi ya Pili Azam wanaitaka ili washiriki club bingwa.
ni kweli kabisa jana nimemuona anatoka uwanjani,kimyakimya mikono nyumaBila kupoteza muda moja kwa moja kwenye mada.
Kwa mambo na mwendelezo wa jaribu tena FC aka makolo,kocha Benchika ni vema ukajitenga na timu hii kwa faida yako.
Timu ipo kiuswahili Swahili sana na kuendeshwa kijanja janja.
Msimuu huu hutaambulia taji lolote hapa utaenda kuchafua CV yako nzuri.
Walio karibu na kocha huyu mtaalamu wa mpira wa mwambie ni bora apate hasara ya kuondoka kuliko kuchafua CV.
Nenda kwenye timu zenye malengo zipo nyingi hapa Afrika.
Atayaweza tu.Hii ya Azam kwenda club bingwa haina faida, Azam yale mashindano hayawezi, akapambane shirikisho huko.
Hyo timu waachiwe mgunda na matola coz hao ni wazugaji na vibaraka wa akina mangungu!!!!Bila kupoteza muda moja kwa moja kwenye mada.
Kwa mambo na mwendelezo wa jaribu tena FC aka makolo,kocha Benchika ni vema ukajitenga na timu hii kwa faida yako.
Timu ipo kiuswahili Swahili sana na kuendeshwa kijanja janja.
Msimuu huu hutaambulia taji lolote hapa utaenda kuchafua CV yako nzuri.
Walio karibu na kocha huyu mtaalamu wa mpira wa mwambie ni bora apate hasara ya kuondoka kuliko kuchafua CV.
Nenda kwenye timu zenye malengo zipo nyingi hapa Afrika.
Nyinyi mlishaletewa Manzoki mnataka nini tena?Mimi simba damu ila nabariki hilo,yule mzee aondoke zake tu ,simba uchwara inamuharibia Cv yake tukuka na tusipostuka ipo siku Sultani Mangungu na genge lake watataka wawe makocha pia