Ko ko ko

Ko ko ko

Pansophy hapa.
Namfukuzia lizzy, tafadhali usilete ushindani
Karibu
 
Karibu Watunduru, umeleta zawadi gani?
 
Karibu umekuja wakati muafaka wa kujadili jins ya Kuikomboa TZ naamini utatoa michango mizuri yenye kutukombo
 
bega kwa bega ndugu yangu ukombozi haukwepeki na mzigo mzito karibu na kuutua.
 
Back
Top Bottom