Please please usimzimie simu, kumbuka huyo dada sasa hivi ana msongo wa mawazo, ushauri wangu kwako kwakuwa wewe ndo umemsababishia matatizo mdada wa watu, mpngishie chumba umlipie kodi ya miezi 6 halafu mwambie afikirie kama kuna biashara anaweza kufanya umpe mtaji aanze kufanya biashara hata kama ni mama ntilie, naamini utakuwa umemsaidia