Litvinienko
JF-Expert Member
- Nov 17, 2011
- 313
- 106
Mgeni ana mkwara....karibu sana, huyo aliyekufungulia mlango anaitwa Sigma.
Karibu...
Naona jamvi limekuchunia
Hadi kina Ulimakafu,
Katavi,
Chatu Dume
Hii staili yako imewastua kidogo.
Namimi nakupa hii...
Karibu sana JF.....Huyo hapo juu anaitwa RR...nampenda sana....
Nampitisha kwenye zulia jekundu, sijamaanisha kumuogopesha?Mkuu mbona watisha wageni,twamkaribisha.