Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,735
- 239,356
Former Netherlands international striker Partrick Kluivert has been appointed as Director of Footbal at PSG , The Ligue 1 Champions have confirmed .
Naona sasa PSG inataka kujikita juu kabisa kwenye soka la ulaya .Mzee wa magoli ya vichwa,hakuna combination iliyokuwa matata Barcelona kama ya Kluivet na Rivaldo Ferreira.
Alikuwa kwenye benchi la ufundi la uholanzi chini ya Van Gaal world cup iliyopita , walipofika unapakumbuka .Tupe record alionayo huyo kluvet akiwa kocha?
Alifundisha Stand United kama siku mbili hivi na walikuwa wafungaji wazuri mno. Tena nilitegemea angeajiriwa nao!Tupe record alionayo huyo kluvet akiwa kocha?
Huo ndio uzoefu ambao PSG wanauhitaji .huyu jamaa alivunja rekodi ya mipira ya vichwa toka dunia kuumbwa hatari brazil hawatawezi kumsahau huku mark overmars huku denis beckamp hapa clarens sealdof hapa edgar davis hapa koku jamani uholanzi where are you?
Mkuu, Brasil hiyo ilikuwa raha mno chini ya kapteni Dunga.Uholanzi vs Brazil world cup 1998, nusu fainali ile itadumu kichwani mwangu