16,7747 km, kama macho yangu nuru yake iko sawa sawa hii n km million moja, laki sita elf saba mia saba arobaini na saba. right? kama ndiyo, kupata mteja anyejua gar itakuwa tataizo kidogo, otherwise rekebisha tarakimu na number pia harafu uongeze details za uuzaji wa gar. kama uko serious lakin. kama not really acha kama ilivyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.