Wese tu huyukwanini uweke 2AZ
Mkuu hapa si bora tu kuuza gari, maana akikutana na fundi maiko gharama itahama kutoka kwenye wese na kuhamia kupiga spana kila mwisho wa wikiInawezekana, weka 2AZ-FE (2.4L) ya Kluger au Harrier.
Sema utabadirisha na gearbox, mounts, ECU, Wiring mbalimbali, na exhaust na cooling system pia.
Na kweli bora auze atafute pesa aongeze anunue nyingine.Mkuu hapa si bora tu kuuza gari, maana akikutana na fundi maiko gharama itahama kutoka kwenye wese na kuhamia kupiga spana kila mwisho wa wiki
Duh hii ngoma fundi inatakiwa awe mzima sn la sivyo ndo utashinda kwake kila siku 😀Inawezekana, weka 2AZ-FE (2.4L) ya Kluger au Harrier.
Sema utabadirisha na gearbox, mounts, ECU, Wiring mbalimbali, na exhaust na cooling system pia.
Unakua mteja wake wa kudumu 😹Duh hii ngoma fundi inatakiwa awe mzima sn la sivyo ndo utashinda kwake kila siku 😀
Kama mtaalamu tunayemuamini humu Mad Max kasema ni vyema uuze ununue gari lingine sidhani kama kuna ushauri mwingine bora zaidi ya huo... kuanza kuifumua gari si kwamba itakuwa engine tu.. itabidi ubadili na vingine..Kwema humu..nina Kluger six cylinders (cc 2900) naweza kuishusha nikaweka engine ndogo (2360).
Haitaleta shida.. mafundi wangu mje kwa ushauri na mawasiliano tafadhari.
🤣Hhhhhhh nakuona vile ulivoshindwa na mafuta na izo gari kluger ni namba nyingine kabisaaa
Uza kluger nunua ist tu
Nunua ist tu🤣
Tatizo round nyingi sn Mkuu mjini hapa sasa cc 3000 inakua balaa
2AZ engine za 2009 kushuka ni majangaInawezekana, weka 2AZ-FE (2.4L) ya Kluger au Harrier.
Sema utabadirisha na gearbox, mounts, ECU, Wiring mbalimbali, na exhaust na cooling system pia.
Hahahaha 😆😆😆😆Wese tu huyu