Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
Duh Mwanakijiji hizi habari kweli?... Billioni moja!...hiyo haiwezi kuwa down payment ya ndege mpya?...
Hivi kweli nchi yetu imekosa credit ya kutuwezesha ku lease with option ya kununua ndege mpya BOIENG...
Koba,
Hakuna shirika hata moja linalonunua ndege kwa cash bali hutolewa mkopo with interest (under contract) kwa hiyo hizo gharama zisikutishe ikiwa umeshafanya physical study ya biashara nzima ya usafiri wa ndege...Hilo gari tu watu hukopa itakuwa ndege mjomba?
Koba,
Well the government wanaweza simama kama wadhamini (co signer) kwani hilo linatumika na linakubalika ktk ulimwengu huu wa biashara. Mashirika mengi ya Umma yaliyokaribia kufirisika, serikali zao hutia mguu wakazikomboa kwa mikopo toka ndani ama nje.
Sidhani kama viongozi wetu hawafahamu hili ikiwa wamepata mikopo kwa ajili ya Tanesco na makampuni mengineyo..
Mjomba Tanzania ni wizi mtupu kwani hata Bandari itazame walikuwa wakilipa kodi kubwa wakati ikiwa chini ya serikali (shirika la Umma) leo hii tunaambia halipati faida mara oooh vifaa na kadhalika kiasi kwamba serikali haipati makusanyo ya kodi kihalali. Tazama basi vifaa vyao vyote ni used, Haya hiyo shirika la reli wanatucheza vilevile na vitu used kiasi kwamba watu wameisha jua kuwa Tanzania ni jalala...
Koba,
Duh! yauzwe?..... mjomba umesahau 10% ama mawaziri wenyewe kuwa owners!..lini tumeleta genuine kampuni nchini kama sio hizo bank za sijui Green walokimbia na fedha kisha serikali imeshindwa ati kufuatilia. I mean when is Interpol. Donda letu limeshindikana hakuna dawa uncle...
Just imagine Karamagi kaamua leo Bandari haifunguliwi kwa sababu mnamtukana kwenye issue za Buzwagi mtafanya nini?. Kifupi naogopa hata hao wauzaji wanavyogawa hizo tender..kumbuka Richmond!
Noo, mjomba nafikiri njia ni kuondoa vibaraka hawa yaani tupate dikteta mmoja kama Idi Amin kwa miaka miwili tu inatosha..
Wakuu mi nilipata nafasi ya kumsikia DM(ATCL CEO) kwenye karedio kamoja cha FM asubuhi moja kuhusu hii issue hapa Tanzania. Alichosema yeye ni kama ifuatavyo:-
1. Kweli ndege hii ilikuwa ya Air Jamaica na ilikuwa inaruka kwenda USA.Kwahiyo ilipass flying standards za USA.
2. Umri wa hiyo ndege ni miaka 11. na kwa International Standard bado ni ndege mbichi. Maana hata huko marekani average age ya fleet zao ni 15-16 years
3. ATCL wamelease hiyo ndege kwa miaka 6. Hawajainunua.
4. Recommendation ya kulease hiyo ndege walipewa na Air Bus maana wanampango wa kununua ndege kwao.Na walifahamu ATCL wana shida na ndege kwa sasa.
5.Air bus ndo wanaoifanyia full check up(hapa alituamia technical term lakini nilivyoelewa ni kama dry dock ya meli yaani kila kitu kinafumuliwa nakuchekiwa)
6. Waataalam wa ATCL pamoja na wale wa Mamlaka ya Ndege nchini walikwenda na kuverify air worthness ya hiyo ndege na ilipasi kuruhusiwa kuruka nchini
7. Kulikuwa na matengenezo ambayo vendor alitakiwa ayafanye na mengine ATCL ilitaki kuyafanya(eg. Kubadilisha cushions, rangi ya ndege(maana ilikuwa na rangi za Air Jamaica), alama za kiswahili etc)
8. Ni kweli kampuni illiyoikodisha ATCl imekuwa registered Liberia kwa ajili ya tax benefits za nchi hiyo kwa investors.
Hayo ndo yalikuwa maelezo yake DM.Ila hakuzungumzia kuhusu Swala la Al Salvador na kama huko ndipo ipo service bay ya Airbus.