Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Kwa walimu waliosoma hapa au wanafunzi wanaotarajia kwenda january hii naomba kujua mazingira ya chuo na sehemu kilipo mpaka kufika chuoni na pia naomba kujua Sheria zao kwa diploma zipoje wakuu
@nmechaguliwa hapa naombeni msaada wenu
@nmechaguliwa hapa naombeni msaada wenu
Last edited by a moderator: