Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 14,239
- 22,674
Hapa tumepigwa huyu anaenda kuwa chikwende mpya
Dilunga na Mkude wabaki, waondoke mhilu,gadiel na mwanuke (atolewe mkopo). Bila kumsahau mzee Wawa nae aondokeSimba Sisi Ni wagumu sana Kuwaachia Baadhi ya Wachezaji Kwenda Kwasababu kuna watu wananufaika pale na Wale wachezaji.
Lakini kiukweli kama tunataka kushindana tena kimataifa basi tuna wachezaji zaidi ya 10 ya kuwaacha, na kutafuta mbala wake.
Kapombe ameshachoka yule ni binadamu kucheza Dakika 90 kila mechi kwa ubora ule ule ni uongo.
Mohamed Hussein Amechoka
Mugalu kwa sasa sio Hadhi ya simba kwa sababu ameshindwa kuonesha kile alichokuwa nacho leo mzuri kesho mbaya.
Kagere msimuu huu benchi la Ufundi limeua Kiwango chake tumpe mkono wa Kwa Heri.
Bocco, Arudi Azam Akajipange tukimuhitaji tutamchukua.
Tadeo Lwanga Tumshukuru kwa Yote aje hata yule UDOH tulie mfanyia majaribio, Ni hasara sana kuwa na Mchezaji wa Nje anaye Kaa Benchi.
Bwalya Naye tumuage tumchukue mtu atakaye kipiga zaidi ya Bwalya na kumpa changamoto chama za kujiuliza.
Nyoni, Mkude, Hassan Dilunga tuwaage
Kibwana ni kale kaandunje kafupi kama tairi ya bajaji?Mzee huyu, akikutana na kina bwana mdogo Kibwana, atatema nyongo
Ungeanza kwa kuingia kwenye hiyo source uangalie. ESPN ni source uchwara? Mwenye magoli matatu ni nani huyo?SIMBA kuna wachezaji walimaliza na magoili zaidi ya matatu ila hapo kwenye list uchwara sijawaona, labda ndiomaana hata Phiri hayupo.
Aibu nimeona mimiAtawapeleka Kambole aliyefunga magoli mawilli kwenye mechi 48 alizocheza misimu miwili.
Mimi pia huwa sioni maana ya kuweka usiri katika hili swala, huko ulaya mbona mambo yapo wazi tu na hata hapa Afrika kwenye nchi zilizoendelea kimpira kama Misri, Morocco, SA, Algeria huwa hawana mambo ya kuficha.Tz ianze utaratibu wa kuweka dau na mishahara inayotumika
Simba Sisi Ni wagumu sana Kuwaachia Baadhi ya Wachezaji Kwenda Kwasababu kuna watu wananufaika pale na Wale wachezaji.
Lakini kiukweli kama tunataka kushindana tena kimataifa basi tuna wachezaji zaidi ya 10 ya kuwaacha, na kutafuta mbala wake.
Kapombe ameshachoka yule ni binadamu kucheza Dakika 90 kila mechi kwa ubora ule ule ni uongo.
Mohamed Hussein Amechoka
Mugalu kwa sasa sio Hadhi ya simba kwa sababu ameshindwa kuonesha kile alichokuwa nacho leo mzuri kesho mbaya.
Kagere msimuu huu benchi la Ufundi limeua Kiwango chake tumpe mkono wa Kwa Heri.
Bocco, Arudi Azam Akajipange tukimuhitaji tutamchukua.
Tadeo Lwanga Tumshukuru kwa Yote aje hata yule UDOH tulie mfanyia majaribio, Ni hasara sana kuwa na Mchezaji wa Nje anaye Kaa Benchi.
Bwalya Naye tumuage tumchukue mtu atakaye kipiga zaidi ya Bwalya na kumpa changamoto chama za kujiuliza.
Nyoni, Mkude, Hassan Dilunga tuwaage
Sasa hapo si mnabadilisha timu nzima! Na hao wachezaji wapya mnawatoa wapi? Hela za kuvunja mikataba ya baadhi ya hawa wachezaji mnatoa wapi?Kama kweli tunataka kuvuka pale tunapoishia yaani robo fainali ya michuano ya CAF
Lazima Simba SC ije kivingine kabisa kwenye usajili.
Naunga mkono hoja, Boko abaki kupewa majukumu mengine, Na Mkude si mbaya akabakia na wapewe mkono wa shukrani akina
Gadiel
Israel
Nyoni
Wawa
Dilunga
Mhilu
Lwanga
Kagere
Mugalu
Bwalya
Morrison
Kama tunafanya fair tusilalamike tunapoishia..!
Unavyoongea utafikiri nyinyi mlishawahi kufanya usajili wa kuvunja mikataba ya wachezaji, wale wa Congo wa As Vita, Chiko na wengine mlivunja mikataba?Sasa hapo si mnabadilisha timu nzima! Na hao wachezaji wapya mnawatoa wapi? Hela za kuvunja mikataba ya baadhi ya hawa wachezaji mnatoa wapi?
Acheni utani bhana.
Hoja ya kitoto kabisa hii, ambapo inafahamika wazi kuwa asilimia kubwa ya wachezaji hasa wa Kimataifa mikataba yao imekwisha.Sasa hapo si mnabadilisha timu nzima! Na hao wachezaji wapya mnawatoa wapi? Hela za kuvunja mikataba ya baadhi ya hawa wachezaji mnatoa wapi?
Acheni utani bhana.
Wewe umemuelewa ila Mac Alpho hakumuelewa.Hoja ya kitoto kabisa hii, ambapo inafahamika wazi kuwa asilimia kubwa ya wachezaji hasa wa Kimataifa mikataba yao imekwisha.
Na wazawa hakuna ambaye Simba watashindwa kufikia nao mwafaka kama si kumtoa kwa mkopo.
Mkuu hii ni ESPN au maan nimcheki playstore inaonyesha muonekano tofauti kabisaKwahiyo phiri ndio mchezaji wa ajabu katika soka la Africa? Wakisema watoke wafumania nyavu 20 bora kwa Caf huyo Phiri atakuwepo? Angalia hapa wafungaji bora wa Caf confederation cup. Sijamaanisha ni mchezaji mbaya, bali sio mchezaji wa kutikisa Africa kwa usajili. View attachment 2262199
Jamaa wanamchukia bila sababuKwanini hamumpendi kibu wakati kwa kule mbele yeye ndio anaeonakana yupo on form tofauti na wengine
Sawa. Ila tusiwasikie tena msimu ujao mkilia lia humu kwa sababu ya kuwa na kikosi chenye wachezaji wengi wapya na wasio na uwezo mkubwa wa kuwaletea matokeo chanya uwanjani.Hoja ya kitoto kabisa hii, ambapo inafahamika wazi kuwa asilimia kubwa ya wachezaji hasa wa Kimataifa mikataba yao imekwisha.
Na wazawa hakuna ambaye Simba watashindwa kufikia nao mwafaka kama si kumtoa kwa mkopo.