Klabu bingwa Afrika: Simba SC 1-0 Al Ahly

Simba ile kasi ndio siraha pekee ya kuwachanganya waarabu ila wasiruhusu goli, jamaa wakipata goli wataanza kujiangusha then game is over
 
Possession 54 waarabu 46, attempt 7 on target 1, mnacheza lkn mtu wa kupiga zile killer pass hamna hapo lazima mumuingize Dilunga. Kosa jinge waarabu wanapoozesha mpira na nyie mmekubali kupoa.
Ni kweli anayetakiwa kutoka ni bocco tu kwasababu mipira mingi anapoteza. Halafu chama na mkude wanachelewesha sana mipira mpaka waarabu wanaziba nafasi zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom