Klabu bingwa Afrika: Simba SC 1-0 Al Ahly

Tarh 9 tuko na JS SOURA hapa inabidi tuthibitishe soura ni kibonde wetu.
Yes we can
 
Babu nimekumiss upo ?

I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...
Nipo mpenzi. Ukinimisi uwe unanipigia simu basi.

Mi nimekumisi zaidi tatizo simu iliibiwa namba zako zikapotea na simu

I'm a man from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...
emoji97.png
 
Simba katika mechi 2 zilizo baki kabakisha point 1 tu. Akienda kwa mwarabu anakufa, vita akija atatoa naye sare. Simba Na Vita ndio watakao tolewa kwenye group lao
 
Mwarabu akikosea akatupa droo... kwisha kazi. Si tumwombee wenge musica wamtandike mwarabu wetu wa jana... Baaasi! Mechi za mwisho zitakuwa kufa na kuuana

Kundi la moto sana hili, na simba anaweza kuwa na rekod nzuri ya kutopoteza nyumbani. Cha muhimu washikilie hapo hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom