Klabu Bingwa Afrika: Dar Young African Vs Zesco

Banka analudisha sana mipira nyuma tena kwenye eneo la hatari, Lamine morro pale tulilamba dume, Patrick sibomana hayupo kwenye mchezo kabisa leo. Kipindi cha pili mapema kabisa atoke Sibomana aingie Juma balinya na Mrisho Ngasa. Alafu wachezaji wajitaidi kupiga mashuti nje ya kumi na nane maana mipira ya klosi inatushinda.
 
Yanga wanapaswa waishukuru sana Simba, bila simba leo wangekuwa wanacheza na Namungo FC.....
 
Zesco wanayo nafasi kubwa ya kuwaadhibu hawa Yanga hapa nyumbani kama wakiacha kuupaka paka rangi mpira, Zesco kwa pamoja tutashinda.
 
Back
Top Bottom