KiuyaJibu JF-Expert Member Joined Aug 29, 2007 Posts 853 Reaction score 210 Oct 7, 2009 #21 Poleni sana wana usharika wa Kimara;ila nao polisi ni kichefuchefu tupu.Wako doria wanapigiwa simu saa 10 wao wanaripoti saa 1 kasoro yaani baada ya dakika 60 na ushee!!
Poleni sana wana usharika wa Kimara;ila nao polisi ni kichefuchefu tupu.Wako doria wanapigiwa simu saa 10 wao wanaripoti saa 1 kasoro yaani baada ya dakika 60 na ushee!!
Akami Member Joined Sep 18, 2009 Posts 82 Reaction score 16 Oct 7, 2009 #22 Poleni sana wanausharika wote wa KKKT,waombeeni hao wezi waachane na dhambi.
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,506 Oct 7, 2009 #23 Dah poleni sana wana usharika. Hao polisi vp lilikuwa dili lao nini mbona wamekawia kufika eneo la tukio?
Dah poleni sana wana usharika. Hao polisi vp lilikuwa dili lao nini mbona wamekawia kufika eneo la tukio?
N Nanu JF-Expert Member Joined May 29, 2009 Posts 1,222 Reaction score 74 Oct 7, 2009 #24 Mungu Ashukuriwe kwa yote.
M Magezi JF-Expert Member Joined Oct 26, 2008 Posts 3,359 Reaction score 704 Oct 7, 2009 #25 lakini kwa nin pesa haziendi benki??