Mnenaji wa leo katika Kongamano la Karismatiki Kanisa Katoliki Dodoma ni Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama

Baada ya juzi Mwalimu Mwakasege kufundisha katika semina ya Karismatiki Kanisa Katoliki Dodoma jana alihubiri mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama.

Leo.tunaendelea kuhubiriwa na mchungaji Kimaro.

Bwana Yesu asifiwe

Tumsifu Yesu Kristo

Mungu ni mwema wakati wote
Kwahiyo ujumbe wako hapa ni upi Jo🤔
 
Huwa siwaelewi Charismatic Catholics.

Yesu hakuja kutuondolea shida na matatizo ila alituonesha kupitia kwayo (msalaba) tunaweza kuupata wokovu.

Sasa hawa wenzetu kutwa kucha wanaona mapepo kwenye kila kitu na kuamini zaidi kwenye miujiza kuliko Injili, sidhani kama ni sahihi na ni Ukristu Ukatoliki to be specific.

Anyways, Mungu anajua.
 
Huwa siwaelewi Charismatic Catholics.

Yesu hakuja kutuondolea shida na matatizo ila alituonesha kupitia kwayo (msalaba) tunaweza kuupata wokovu.

Sasa hawa qenzetu kutwa kucha wanaona mapepo kwenye kila kitu na kuamini zaidi kwenye miujiza kuliko Injili, sidhani kama ni sahihi na ni Ukristu Ukatoliki to be specific.

Anyways, Mungu anajua.
Katoliki halijawahi kuwa kanisa la Yesu Kristo ndio maana mambo ya rohoni hamyaelewi.
 
Kanisa la Kristu lina sifa zifuatazo:
• Moja
• Takatifu
• Katoliki
• La Mitume

Ni Kanisa Katoliki tu ndio lina hiyo sifa, and ndio Kanisa pekee lililoanzishwa na Kristu mwenyewe.
Kwa Hiyo Mbinguni ni maalum kwaajili ya wakatoliki peke yao?

Je? Kristo alikufa msalabani kwa ajili ya wakatoliki peke yao?
 
Kanisa la Kristu lina sifa zifuatazo:
• Moja
• Takatifu
• Katoliki
• La Mitume

Ni Kanisa Katoliki tu ndio lina hiyo sifa, and ndio Kanisa pekee lililoanzishwa na Kristu mwenyewe.
Mkuu unanipa mashaka makubwa. Umewahi kusoma church history? Kanisa la Rome unajua lilivyoanza?

Kasome uone Catholic ilivyoanzishwa kisiasa na Constantine na ndio ukawa mwanzo wa neutralization ya imani ya kikristo.

Kanisa lilianzia Yerusalemu halafu baadae Antioch ndio ikawa main church baadae ikawa Alexandria halafu ndio ubatili wa Rome uliosababisha kuzaliwa kwa Orthodox church kwenye former Greece empire ambao waliona uchafu wa Rome na kuamua kujitenga.

Rome ikaja kugeuka na kufanya mauaji mengi sana ya wakristo chini ya uongozi wa papa. Mafundisho yalikuwa potofu mpaka nyakati za reformation za akina Martin Luther.

Pata nafasi ya kujisomea ili uwe sehemu sahihi. Kuna siku nitaleta uzi wa hili jambo.
 
Baada ya juzi Mwalimu Mwakasege kufundisha katika semina ya Karismatiki Kanisa Katoliki Dodoma jana alihubiri mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama.

Leo.tunaendelea kuhubiriwa na mchungaji Kimaro.

Bwana Yesu asifiwe

Tumsifu Yesu Kristo

Mungu ni mwema wakati wote
Roma na nyie mumeanza kufukuza mapepo kwa kupayuka?
 
Nimejifunza kitu hapa!
 
Kwa hiyo Lutheran au Methodist ndiyo makanisa sahihi? Kichekesho!
 
Leo.tunaendelea kuhubiriwa na mchungaji Kimaro.

Bwana Yesu asifiwe

Tumsifu Yesu Kristo

Mungu ni mwema wakati wote
Nimefuatilia kwenye moja ya vituo vya redio.

Kimaro amenishangaza kwa kupenda sana kuchanganya kiingereza kwenye mafundisho yake utadhani anatoa mhadhara kwa wanafunzi wa chuo.

Mwalimu mzuri shurti aifahamu hadhira yake.
 
Baada ya juzi Mwalimu Mwakasege kufundisha katika semina ya Karismatiki Kanisa Katoliki Dodoma jana alihubiri mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama.

Leo.tunaendelea kuhubiriwa na mchungaji Kimaro.

Bwana Yesu asifiwe

Tumsifu Yesu Kristo

Mungu ni mwema wakati wote
Ndio maana Fr. Amigu huwa anawadiss Karismatiki hivi hivi sasa hao Wachungaji wa Nini? Kwani Kanisa Katoliki lina uhaba wa mababa wa kutoa mafundisho hadi wawachukue hao jamaa? Je, kuna utofauti gani sasa na wale Waumini wa Jimbo la Iringa waliofungiwa Sakramenti kwasababu ya kwenda kumsikiliza Mwamposa?
Karismatiki acheni kujichanganya bhana, mtindo wa kukopa mafundisho ya madhehebu mengine sio mzuri na haufai, haileti afya kwa Ustawi wa Kanisa Katoliki.
 
Ndio maana Fr.Amigu huwa anawadiss Karismatiki hivi hivi sasa hao Wachungaji wa Nini?,Kwani Kanisa Katoliki lina uhaba wa mababa wa kutoa mafundisho hadi wawachukue hao jamaa??,Je,kuna utofauti gani sasa na wale Waumini wa Jimbo la Iringa waliofungiwa Sakramenti kwasababu ya kwenda kumsikiliza Mwamposa??. Karismatiki acheni kujichanganya bhana,mtindo wa kukopa mafundisho ya madhehebu mengine sio mzuri na haufai,haileti afya kwa Ustawi wa Kanisa Katoliki.
Yesu ni yule yule
 
Back
Top Bottom