kizuri share na mwenzio

ZionTZ

JF-Expert Member
Oct 6, 2009
1,283
538
wakuu habari zenu...

katika tembea tembea yangu nimekutana na website moja kali sana ya mambo ya afya ya mama na watoto, inaitwa Wanetu.com :: Elimu kuhusu Ujauzito na Uzazi, Malezi na makuzi ya watoto, Afya ya watoto, Saikoljia, Tabia na Haki za Watoto hivi ndivo vilivonifurahisha zaidi

1. imeandikwa kwa kiswahili kilaini kinachoeleweka,
2.design yake sio complex kwa mtumiaji yani unanavigate kiulaini
3.rangi zilizotumika haziumizi macho zimetulia sana
4.madaktari wameandika kifupi na pia matatizo walioandikia ni common.
5.jina nalo limenifurahisha coz ni simple kulikumbuka

i think hii site ni msaada mkubwa sana kwa vijana wanaoanza maisha, hususani kwenye uzazi pale hua panasumbua sana
sometimes tunapoteza watoto kwa kutokujua vitu vidogo vidogo tu kama hvi mlivoviandika.

wakuu tuwaunge mkono kwa ushauri na mapendekezo yeyote
 
Back
Top Bottom