Habari zenu wakuu, natarajia kuwa dar october5 for two weeks. mi si mwenyeji huko yan hata ikitokea natupwa posta jua napotea kabisa!!!!! natafuta aliye tyr kunipa company yani kunishika mkono..........., mi natokea moja ya mikoa ya kanda ya ziwa!!!!!!!!!
Sifa,
1. awe mwanaume wa kuanzia miaka 35 - 45
2. awe muelewa acjeniona mshamba sana.
3. awe na digrii kuanzia
moja na kuendelea.
4. asiwe mpenda uzungu saaana.
wakuu naomba msinichambe!!!!! mwenyeji wangu heaven on earth kwa heshima ya kunipokea humu JF naomba unisaidie kufanya usaili then kwa atakae qualify naomba um Pm kwangu.
Jaman c mnajua zimwi likujualo halikuli
likakwisha!!!!!!!!.
naomba kuwasilisha!!!!!!!