Kizunguzungu kwishney


Hatari kwelikweli, Mungu aturehemu kweli,hii neema tuliyopewa aliyosema hataangamiza kwa maji na kwa moto tena tusiichezee bure.
 
Na wewe pia, kumbe twatizo lilikuwa mfadhaiko ...aisee
 
Wewe mkuu nina mashaka na wewe humu, nahisi utakuwa staged
 
jichekee mwayaaaa.

Ila hujasema unapenda kisa kipi?

Sio Samson na Delilah? Huwa nahisi Delilah alikuwa kisu kweli *****.

Hahahaa haaaa
Napenda kisa cha Musa na Haruni walipotumwa kuwakomboa waisrael
 
Hivi jamani, ni hadithi ipi katika Biblia unaipenda ewe mwana JF?

Mimi Karucee napenda kile kisa cha Nabii Nuhu na wanayama walipokuwa wanaingia wawili wawili.

Na ile ahadi ya Mungu kuwa hakutatokea adhabu kama ile.

kisa cha handsome yusuph.
 
Mimi namkubali sana Yudah Esckariot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…