Kizungumkuti cha mahusiano

Mkuu nikupe tu taarifa kipindi unamsubiri kwa mshikaji alikuwa anagegedwa, hivyo hayo unayo yaona ni matokeo ya Mtanzania mwenzetu kusimamia kucha...

Niombe tu uwe mvumilivu katika kipindi hiki kigumu na uachane na wote

Thank me later
Pamoja mkuu
 
Ukaona 'isiwe kesi' uwaanzishie UZI!

sawa 'isiwe tabu' waache wote!
 
Maskini elimu yetu hii!

Hakika mtu wa miaka 20-23 hujui kuandika vizuri,seriously?

Kwanza utoto mwingi mno kwenye huo mkeka wako!

Napata wasiwasi kuamini kama kweli umefika hata huo umri wa miaka 20-23!
 
Maskini elimu yetu hii!

Hakika mtu wa miaka 20-23 hujui kuandika vizuri,seriously?

Kwanza utoto mwingi mno kwenye huo mkeka wako!

Napata wasiwasi kuamini kama kweli umefika hata huo umri wa miaka 20-23!
Unatka nifuate ala zote za uandishi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…