Kuna mawakala wa forodha wengi pale stesheni (Long room) wakilalamikia TRA kutoa password kwa mawakala wachache huku wakijua ya kuwa system mpya itaanza kutumika 1/07/2014 hivyo kuleta usumbufu mkubwa kwa mawakala na kuwapa hasara walioagiza magari na kuwanufaisha wenye yard za kutunzia magari toka bandarini (ICD).