Kizungu zungu cha mapenzi

ushauri mzuri sanaa
 
Afadhali yako umejisema kabisa na elimu yako. Nenda kaanze maisha mapya chuon.
 
youngtozy enhee okey sasa swali jepes ushafanya applocation tcu na bodi ya mkopo?..... embu nenda bas ukasome utakutana na zaid ya hao...
 
Sasa sisi tutajuaje kama anakupenda kweli au la.Usitujaribu (in Magufulis voice)
 
umefauru ila yeye hakufauru
baada ya kusikia umefauru


nmeishia la7
lakini najitahidi kuandika kuliko wewe...
endeleeni kuyajenga/ukitaka kula bata wacha kumchunguza
 
Msamehe tu " chezea shetani wewe & Ila siku huyo shetani akijitokeza nahisi watu watamgawana Kama sio kumshitakia kwa mungu kabisa.... Hahahah
Haaaa haaa kweli mkuu nimechekaaa tnx kwa kunipunguzia stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…