Kizungu zungu cha mapenzi

All thanks to God bro! Haya mambo bana ukiyakurupukia utaishia kulala kwenye mikeka na huku hao wa kwenye tamthilia unaowaiga wanakula bata tu yani!
Haya bhana wish you all the best in your further studies at university..but am not bro am sister
 
Ila bana kaka uliekutwa na mkasa kama wangu... fikiria mwenyewe. Hapo me sioni kama kuna haja ya sisi kukwambia kama huo upendo wake ni wa.kweli au la. Kila kitu kiko wazi....!
Kwel ndg ila kwa jins anavyolalamika had nashindwa kuelewa kaka kwan analia na yy amewambia had marafik zangu wanishaur ile hal mwanzon hawakujua
 
Achana na wanawake soma kijana,
Hapo analia lakini ana wanaume watatu, wewe anataka uwe wa nne.
Kwa umri wako, mapenzi uhajui na usijiingize kwa sasa.
 
Kwel ndg ila kwa jins anavyolalamika had nashindwa kuelewa kaka kwan analia na yy amewambia had marafik zangu wanishaur ile hal mwanzon hawakujua
Huyo aliekuwa naye wakati anakutema ww yuko wapi sa hvi!!? Tatizo siyo kulalamika...!! Tatizo ni kwamba: wewe utamwamini tena kama ulivokua ukimwamini mwanzo?? Bila shaka jibu ni HAPANA, na kama ni hivo basi utajikuta unaingia katika uhusiano wenye mashaka, kutojiamini na hofu, jambo ambalo siyo jema kwa mtu unaetafta maisha kama.kijana! THINK!
 
Cha muhimu muombe mungu wako akujaalie upate mkopo uone utavyopendwa! Ila sasa umri mlionao na hayo mahusiano mmhh
 
kumbe kuna watoto mpaka huku duhhh sasa mimi ntahamia facebook kwa mkopo
 
Bado una mda wa kucheza! Hao ndivyo walivyo! Kama vipi chezea then tupa kule!
 
Duuuhh kazi kweli kweli.

Kama wewe uliefaulu unaandika hivi huyo alie "feli" Si ni balaa.

NB: 1- Yaliyopita si ndwele
2- Nenda na uchao usiende na uchwao.
 
Nyie watoto mkienda shule mkasome acheni mapenzi. Kwanza nashangaa umefaulu vipi wakati hata kiswahili hujui, badala ya kusema faulu unasema fauru shiittt!. Kitu kingine nikuulize kwani kufaulu ndio kupata hela? Huyo mwanamke nae ni mtoto sanaa. Wanawake wanapenda mwanaume mwenye hela tuu na sio aliyefaulu.na usijidanganye eti ukifaulu kwenye mitiani ndio umefaulu kwenye maisha. Kufaulu ni kitu kimoja na kupata hela ni kitu kingine, nenda shule ukasome kwanza mapenzi yaache kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…