Kizazi cha Kukataa

Kizazi cha Kukataa

Wacha1

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2009
Posts
16,676
Reaction score
8,246
Katika kutekeleza ilani ya CCM na kuinua maslahi ya Wananchi wa Tanzania, kuona kwamba rasilimali za nchi hii zinaweza kutuondoa umasikini wetu kabisa na kuwa nchi ambayo ni mfano wa kuigwa. Makusanyo ya kodi yameongezeka kwa kiasi kikubwa na mkombozi wetu ni rasilimali zetu ambazo wapo waliotuaminisha kwamba tutashitakiwa nk.

Nafahamu wapo wengi ambao kazi yao kubwa ni kubeza na kuropoka, kama wewe ni mojawao pita tu huna sababu ya kusoma lakini kama wewe unaweza kujibu hoja kwa hoja karibu.




1598183318353.png

1598183340728.png
 
Msemaji wa serikali amepoteza mvuto kwa sababu kila siku ni yale yale tu. Ajira na uhimarishaji wa maslahi ya watumishi ni KAA LA MOTO.
 
Msemaji wa serikali amepoteza mvuto kwa sababu kila siku ni yale yale tu. Ajira na uhimarishaji wa maslahi ya watumishi ni KAA LA MOTO.
Hatuhitaji mvuto tunaangalia tangiables, mvuto nendeni mkavutane Chadema kwenye ulevi wa konyagi.
 
Back
Top Bottom