olele JF-Expert Member Joined Dec 2, 2010 Posts 1,305 Reaction score 1,578 Mar 27, 2013 #1 mwl: tunga sentensi kwa kutumia neno sukari Mwanafunzi: " Jana nilikunywa chai" mwl: mbona hamna neno sukari Mwanafunzi: ipo ndani ya chai
mwl: tunga sentensi kwa kutumia neno sukari Mwanafunzi: " Jana nilikunywa chai" mwl: mbona hamna neno sukari Mwanafunzi: ipo ndani ya chai
Bishop Hiluka R I P Joined Aug 12, 2011 Posts 7,150 Reaction score 14,730 Mar 27, 2013 #2 Duh, dogo kaamua ku-simplify...