Bei Rahisi Electronics
Senior Member
- Apr 4, 2025
- 197
- 583
Uzi huu mahsusi kushauriana ,Michongo, Connection za kazi na kutiana moyo.
👉Familiar Hakikisha kila unachoingiza weka akiba ya %10.
👉Dhama zetu maarifa ni lazima Hivyo Hakikisha kila siku angalau umesoma page 2 za kitabu.
👉Huwezi kutajirika kwa kunyooka 100%, hicho kitu hakipo, lazima ucheze rough ila usiue.
👉Kaa ukijua ngono ijawahi kumuacha mtu salama.
👉Nipo Zanzibar wanangu nafanya biashara za Electronic
From Dar es salaam.
👏NATAMKA RASMI UZI TAYARI👏