Sawa sawa, tuombee tu milipuko isifike huku[emoji106] [emoji106] jumamosi kaka ikawa kama vile [emoji485]wee acha tu
Mshana una LIKES 5698, ngoja niongeze yangu zifike 5699nina hakika mpaka usiku huu unasoma hii post ulikuwa hujui jibu hili kama ungeulizwa wewe ni nani...kila mtu angekuwa na jibu lake lakini hata sasa baada ya kusoma post hii bado kuna baadhi watakuwa na majibu yao
Lakini iko hivi wewe ni muunganiko wa roho mbili tofauti kupitia manii ya baba na yai lililopevuka la mama vilivyokutana na kuunda/kuumba roho moja (wewe) kwahiyo wewe ni muunganiko wa roho mbili +moja
Hii ina maana gani? Ni kwamba kwenye ulimwengu wa roho una connection ya moja kwa moja na hao watu wawili waitwao wazazi na kadiri unavyoendelea kukua hufyonza nguvu yao na kujenga nguvu yako....hata kama wawe ni wafu tayari huo mchakato huendelea kwakuwa hili ni jambo la kiroho na si la kimwili
Kwa sisi tunaoamini katika Mungu mmoja mzazi huitwa Mungu wa pili, hivyo mzazi ana nguvu kubwa sana na madhara ya moja kwa moja(direct effect) kwako kwa lolote lile liwe baya au zuri
Mwaka jana mwanzoni tulikuwa na mada inayohusu laana na kama je kuna connection gani kati ya mzazi anayetoa laana na mtoto anayelaaniwa
Usiku huu na kesho pia ukiwa na bundle la kutosha kuingia JF nk huku ukiwa umeshiba wewe na familia yako....!Je umemkumbuka mzazi pale kijijini je kashiba kama ulivyoshiba wewe? Kumbuka yeye ni sehemu ya wewe na bila yeye wewe usingekuwepo hapa! Wewe unayejiita mimi...!
Ulalapo muda huu na utakapoamka kesho usisahau kusahau kuhusu hili
Hili nimelijibu hapo juu mara mbili kwamba kuna mizania ya haki inayofanya kazi juu ya uelewa na ufahamu wa kibinadamu na kutoa adhabu kulingana na mkosaji kwakuwa hata mzazi akitoa laana na ikashindwa kutenda kazi ni adhabu piaMkuu laana zingne huwa haziwapati watoto kama mtoto Hana makosa hili likoje mkuu?
Vipi mzazi akikuamrisha kumuoa mwanamke asie chaguo lako!nina hakika mpaka usiku huu unasoma hii post ulikuwa hujui jibu hili kama ungeulizwa wewe ni nani...kila mtu angekuwa na jibu lake lakini hata sasa baada ya kusoma post hii bado kuna baadhi watakuwa na majibu yao
Lakini iko hivi wewe ni muunganiko wa roho mbili tofauti kupitia manii ya baba na yai lililopevuka la mama vilivyokutana na kuunda/kuumba roho moja (wewe) kwahiyo wewe ni muunganiko wa roho mbili +moja
Hii ina maana gani? Ni kwamba kwenye ulimwengu wa roho una connection ya moja kwa moja na hao watu wawili waitwao wazazi na kadiri unavyoendelea kukua hufyonza nguvu yao na kujenga nguvu yako....hata kama wawe ni wafu tayari huo mchakato huendelea kwakuwa hili ni jambo la kiroho na si la kimwili
Kwa sisi tunaoamini katika Mungu mmoja mzazi huitwa Mungu wa pili, hivyo mzazi ana nguvu kubwa sana na madhara ya moja kwa moja(direct effect) kwako kwa lolote lile liwe baya au zuri
Mwaka jana mwanzoni tulikuwa na mada inayohusu laana na kama je kuna connection gani kati ya mzazi anayetoa laana na mtoto anayelaaniwa
Usiku huu na kesho pia ukiwa na bundle la kutosha kuingia JF nk huku ukiwa umeshiba wewe na familia yako....!Je umemkumbuka mzazi pale kijijini je kashiba kama ulivyoshiba wewe? Kumbuka yeye ni sehemu ya wewe na bila yeye wewe usingekuwepo hapa! Wewe unayejiita mimi...!
Ulalapo muda huu na utakapoamka kesho usisahau kusahau kuhusu hili
Hapa kuna mambo mawili matatuVipi mzazi akikuamrisha kumuoa mwanamke asie chaguo lako!
Hapo laana ipo ukikataa?