Kiwanja.

Kiwanja.

Prince Juzo

Member
Joined
Feb 4, 2018
Posts
65
Reaction score
88
Nahitaji kiwanja kilichopimwa au kilicho maeneo ya makazi dodoma mjini. Nina 1 milion. Asa asa maeneo ya nzuguni, nkuhungu au popote ila isiwe mbali na mjini. Ila nataka sana kilicho pimwa. Kama unacho ni PM ili tuongee biashara.
 
Mkuu hiyo 1m unataka kilichopimwa tena maeneo ya mjini?
Last week jamaa yangu alienda kununua Kiwanja mnadani mbele ya mzani (NALA) kwa 3m (30×24)
Kwahiyo offer yako lazima wakutapeli.
 
Mkuu hiyo 1m unataka kilichopimwa tena maeneo ya mjini?
Last week jamaa yangu alienda kununua Kiwanja mnadani mbele ya mzani (NALA) kwa 3m (30×24)
Kwahiyo offer yako lazima wakutapeli.
Ambacho akijapimwa ata ikiwa nje ya mji sio mbaya maan mji bdo unakua ila iwe ndan ya municipal of dodoma.
 
Mkuu hiyo 1m unataka kilichopimwa tena maeneo ya mjini?
Last week jamaa yangu alienda kununua Kiwanja mnadani mbele ya mzani (NALA) kwa 3m (30×24)
Kwahiyo offer yako lazima wakutapeli.
Man Dojo alinunua Viwanja vitatu kwa Jumla ya Tshs 3mil mwaka Juzi eneo la Mbweni, Dar es Salaam
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom