INAUZWA kiwanja

Uniquegal

Member
May 3, 2014
27
14
nauza kiwanja changu kwa million mbili mbele ya kibada kigamboni ukubwa wa 23 kwa 27 number 0717096275
 
Miguu mirefu ndo mimi, kua serious kama kweli unafanya biashara, ingekua mkoani mfano mbeya ukisema miguu ningejua ni mita kwa Dar miguu ni utata mtupu, hebu taja kipimo kwa uhakiaka
bora uje ukione kwasababu what i know ni miguu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom