Kiwanja sqm 2800 kinauzwa kipo gezaulole

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
Kiwanja hiki kipo geza ulole kigamboni, kina hati zote na mmiliki yupo muda wowote unaweza muona . eneo hili limetegwa kwa ajiri ya ujenzi wa nyumba ( low density) . kimepimwa na kina hati zote muhimu kinauzwa 42milioni. ( mimi ni dalali nipigie nikakuoneshe na nikutanishe na mwenyewe niandalie na ujira wangu 0657 145555 )
 
Dah!! Gezaulole Kaka!! 42m na ujira bado haujatiwa kwenye hesabu Mkuu!?? Shilingi haina Thamani ama wananchi hatuithamini??
 
inatiwa moyo kuona mpo mnaoelewa sqm 2800 inakaribia robo 3 heka kiwanja kina hati ya miaka 99 imbayo imetoka mwaka huu.

mkuu, mtu yeyote aliyeahi kununua kiwanja chenye hati lazima aelewe. Tatizo kuna watu wanatumia comkon sense katiika vitu ambavyo vinahitaji experience.
 
Kwa wasioelewa huyu bwana anauza square meter moja kwa shiling 15,000/ haya linganisha.
 
Bei fair kabisa. Serikali inauza sh. elfu 10 kwa sq. metre moja. Huyu kawa muwazi, kasema yeye ni dalali so ni lazima apate chake cha juu kwa kazi anayofanya ya kuunganisha muuzaji namnunuzi, muuzaji pia alinunua kwa sh. elfu 10 toka serikali so ni lazima na yeye atengeneze profit. Chini ya bei hiyo kama kuna sehemu kiwanja chenye ukubwa huo na hati, tuletee.
 
Marcopolo mimi sisemi kuwa huyu anauza ghali au rahisi! Nimejaribu kurahisishia watu kulinganisha bei.
Mbona kama umekuwa mtetezi sana, au una hisa kwenye mgao! Si unajua watu wanaweza anzisha thread kwa I'd hii, halafu akachangia na nyingine kuipa promo! Mjini hapa!! Binafsi kwa bei hiyo naona ni reasonable kwa kiwanja chenye hati na ukubwa huo. Lakini kwa kuwa ni biashara huwezi kulazimisha bei, ni makubaliano waweza uza hata chini ya hapo, kwani hujaona hilo mkuu?
 
Tuko pamoka mkuu. Akiri na zemarcopolo ni watu wawili tofauti, usihofu...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom