S Smartbeing JF-Expert Member Joined Apr 7, 2014 Posts 323 Reaction score 426 Aug 22, 2017 #1 Shamba ekari moja jirani na barabara maeneo ya Kibaha, Kiluvya au Baobab kwa bajeti ya 5m lisilo na mgogoro linahitajika. Vinginevyo kiwanja kikubwa kiasi mitaa hiyo kwa bajeti similar tuwasiliane pm ili tufanye biashara Sent using Jamii Forums mobile app
Shamba ekari moja jirani na barabara maeneo ya Kibaha, Kiluvya au Baobab kwa bajeti ya 5m lisilo na mgogoro linahitajika. Vinginevyo kiwanja kikubwa kiasi mitaa hiyo kwa bajeti similar tuwasiliane pm ili tufanye biashara Sent using Jamii Forums mobile app