Hi wanajamvi, kiwanja kinauzwa maeneo ya St.Joseph university Mbezi ya Kimara, bei 23 millioni, maongezi yapo, ni pazuri saana sana, maji ya DAWASCO yapo, umeme nguzo ipo hapo hapo, majirani wapo, 800 sqms.
Unaweza kujenga hostel au nyumba ya kuishi, ni pazuri sana nauza basi tu nina shida
Kama upo interested ni PM