Kiwanja/Nyumba inauzwa Tshs 17,000,000/=

Kiwanja/Nyumba inauzwa Tshs 17,000,000/=

Nashukuru Mkuu kwa elimu hum ndani tunatofautiana uwezo naamini hayo ni mapungufu nimeyaona na nitayafanyia kazi ila ukubwa ni miguu 25 kwa miguu 35 kwa vipimo vyetu vya kiswahili
Kipimo cha Mguu 1 ni Makadilio ya Mita 1.
So ni Sawa kusema eneo lako ni Mita 25 kwa Mita 30.
 
Nashukuru Mkuu kwa elimu hum ndani tunatofautiana uwezo naamini hayo ni mapungufu nimeyaona na nitayafanyia kazi ila ukubwa ni miguu 25 kwa miguu 35 kwa vipimo vyetu vya kiswahili
Kaka hakuna wanunuzi hapa jamii forum watakusumbua kwa maswali kibao. Usipunguze bei hiyo hiyo iko kawaida
 
Hiyo sio nyumba kiongozi ila pagala la nyumba.
Kwa level yako ya maisha ni pagare ila kwangu ni hekaru na mm nawahusisha wenzangu na mm na sio wewe good life wa kununua maghorofa na mabangaroo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom