Accidental Genius
Senior Member
- Aug 17, 2019
- 154
- 188
Kiwanja 45x45 kikiwa na pagale kinauzwa.
Vyumba 4 na 2 master.
Eneo zuri na kubwa
Kipo Mtwara mjini hatua chache toka stendi kuu ya Mabasi Chipuputa.
Hatua chache toka main road ya Mtwara to DSM.
Hatua chache toka ufukweni.
Umeme na maji vimefika.
Bei 54mil.